Monday, 18 November 2019

UNAVYOZIDI KUISI NA MPENZI WAKO NDIVYO NENO NAKUPENDA hUPUNGUA

adiri wapenzi/wanandoa wanavyokaa pamoja kwa muda mrefu katika uhusiano/ndoa ndivyo uwezekano wa kuambiana Nakupenda" unapungua. Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa Michael Rosenfeld Mwanasosholojia wa Chuo Kikuu Cha Stanford, California.
#Fahamuzaidi

No comments:

Post a Comment