Saturday, 30 November 2019

Kasri la Kifalme Mjini Beijing

Katikati ya mji wa Beijing kuna jamii kubwa ya majumba ya zamani ya adhama na fahari, hilo ndio kasri la kifalme lililo maarufu sana duniani, na vilevile ni kasri pekee lililojengwa kwa mbao tupu. Kasri hilo liliorodheshwa na UNESCO katika kumbukumbu za urithi wa utamaduni wa Dunia mwaka 1987.
Kasri la kifalme lililopo Beijing lilijengwa kwa amri ya mfalme wa pili wa Enzi ya Ming, Zhu Li, mswaka 1406, na ujenzi wake ulitumia miaka 14. kabla ya enzi ya mwisho nchini China yaani Enzi ya Ming kumalizika mwaka 1911, katika muda wa miaka 500 hivi, jumla ya wafalme 24 walikaa katika kasri hilo kushughulika na mambo ya taifa. Ni nadra kuona kasri kama hilo duniani lingeweza kulingana ama katika ukubwa wake, au katika mtindo mzuri na wa fahari wa majumba au katika samani na vyombo vya mapambo. Eneo la kasri ni zaidi ya mita za mraba laki 7 na elfu 20, urefu kutoka kaskazini hadi kusini ni mita 1,000, na upana kutoka magharibi hadi mashariki ni mita 800, pembezoni unazungukwa kwa ukuta na nje ya ukuta ni handaki la maji lenye upana wa mita 50. Kasri hilo lilijengwa kwa kufuata moja kwa moja utaratibu na dhana za kimwinyi, yaani ama katika mpangilio wa majumba au katika ukubwa wa ujenzi, au katika mtindo na rangi ya majumba au katika samani na vyombo vya mapambo yote yameonesha sana utukufu na madaraka makubwa ya mwisho ya mfalme. Miongoni mwa majumba yote ya kasri hilo, zinazovutia zaidi ni kumbi tatu kubwa, yaani ukumbi wa Taihe, ukumbi wa Zhonghe na ukumbi wa Baohe, hizo kumbi ni mahali pa kufanyia sherehe kubwa. Kati ya kumbi hizo tatu, ukumbi wa Taihe ni kitovu cha majumba yote ya kasri hilo, kiti cha enzi kiko ndani ya ukumbi huo. Huu ni ukumbi unaoonekana wenye adhama kubwa, ambao umejengwa upande wa kaskazini katika uwanja wenye eneo la mita za mraba elfu 30 kwenye jukwaa lenye matabaka matatu na kimo cha mita 8, kimo cha ukumbi huo ni mita 40, hilo ni jumba refu kabisa kuliko majumba yote mengine katika kasri. Katika utamaduni wa China, dragoni anamaanisha madaraka ya mfalme, mfalme ndiye “dragoni halisi na mwana wa mungu”, kutokana na dhana hiyo ukumbi huo umepambwa kwa dragoni karibu elfu 13. Ujenzi wa kasri pia umedokezea masimulizi mengi na umetumia ujuzi mkubwa. Kwa mfano, kasri hilo lina jumla ya vyumba 9,999 na nusu. Hii inatokana na wazo ambalo wahenga wa China waliamini kuwa peponi kuna vyumba 10,000, kwa kujizuia mfalme alijenga idadi ya vyumba kasoro nusu ya chumba chini ya idadi ya vyumba peponi. Ndani ya bustani, kuna jiwe moja kubwa ambalo juu yake zilichongwa sanamu za mazimwi na vibwengo, kwani katika bustani hiyo kuna ukumbi mmoja ambao ulisemekana kwamba aliwahi kukaa mungu mmoja, siku moja ukumbi huo ulikumbwa na ajali ya moto, mungu huyo aliongoza wazimamoto waliokuwa samaki na majoka kuuzima, baadaye aliweka jiwe hilo kama ni kumbukumbu. Kadhalika, kwa sababu majumba yote yamejengwa kwa mbao tupu, ili kuzuia ajali ya moto usienee kwenye majumba halisi, mafundi walitumia akili nyhingi, wakajenga safu nne za nyumba ambazo kwa wajihi ni nyumba lakini kwa ndani ni mawe tupu ili kuzuia ajali isienee zaidi. Ndani ya kila ua wa jumba iliwekwa mitungi mikubwa ya maji jumla 308, ndani ya mitungi hiyo ya shaba, maji yalikuwa tayari wakati wote kwa kuzima moto, na katika majira ya baridi moto uliwashwa chini ya mitungi ili maji yasigande.
Kutokana na rekodi ya historia, ujenzi wa kasri ulitumia wafanyakazi na mafundi laki moja, vifaa vya ujenzi vilitoka kutoka pande mbalimbali nchini China ikiwa ni pamoja na mko wa Yunnan, mkoa uliopo kusini magharibi mwa China ulio mbali kwa kilomita elfu kadhaa kutoka Beijing. Ndani ya kasri hilo vinahifadhiwa vitu vyenye thamani kubwa vya kumbukumbu za utamaduni zaidi ya milioni ambavyo ni kiasicha sehemu moja kwa sita ya vitu vyote vya utamaduni nchini China, na miongoni mwa vitu hivyo baadhi ni johari za kitaifa. Ili kuhifadhi vema vitu hivyo katika miaka ya 80 ya karne iliyopita, serikali ya China ilijenga bahari yenye vyumba zaidi ya 100 chini ya ardhi. Kasri hilo la kifalme ni alama ya utamaduni mkukbwa wa China. Wataalamu wa China na nchi za nje wanaona kuwa usanifu na ujenzi wa kasri hilo ni kazi bora isiyo kifani, ni maonesho ya utamaduni mkubwa wa China na ni uhodari mkubwa wa mafundi waliokuwepo kabla ya miaka 500 iliyopita. Hadi leo kasri hilo limekuwa na historia ya miaka zaidi ya 580, majengo yake yamedumu kwa miaka mingi, zaidi ya hayo, katika miaka ya karibuni watalii wanaongezeka haraka hadi karibu milioni 10 kwa mwaka. Ili kutunza vema kasri hilo serikali ya China kuanzia mwaka jana ilianza kukarabati kasri hilo, na ukarabati huo utaendelea kwa miaka 20.

HAWA NDIO WATU KUMI MAARUFU ZAIDI DUNIANI


images+(1)1.BARACK OBAMA-Rais wa kwanza mweusi nchini Marekani










Pope-Francis-waves-to-cro-011
2. PAPA FRANCIS-Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani






Muhammad-Ali-ap_1468665c
3. MUHAMMAD ALI-Bondia wa Zamani wa uzito wa juu duniani.






download
4. BILL GATES- Mmiliki wa Microsoft na Tajiri Mkubwa Duniani







download+(1)5. BEYONCE KNOWLES-Mwanamuziki







images
6. MIKE TYSON-Bondia wa zamani wa uzito wa juu duniani









images+(2)
7.NICKI MINAJ-Mwanamuziki








ro
8.CRISTIANO RONALDO-Mwanasoka









download+(2)9. OPRAH WINFREY- Mtangazaji wa TV na mmoja wa wanawake matajiri zaidi duniani.

cute_footballer__by_wanamirahmessi-d4va5sb10.LIONEL MESSI-Mwanasoka




HAWA NDIO WATU KUMI MAARUFU ZAIDI DUNIANI


images+(1)1.BARACK OBAMA-Rais wa kwanza mweusi nchini Marekani










Pope-Francis-waves-to-cro-011
2. PAPA FRANCIS-Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani






Muhammad-Ali-ap_1468665c
3. MUHAMMAD ALI-Bondia wa Zamani wa uzito wa juu duniani.






download
4. BILL GATES- Mmiliki wa Microsoft na Tajiri Mkubwa Duniani







download+(1)5. BEYONCE KNOWLES-Mwanamuziki







images
6. MIKE TYSON-Bondia wa zamani wa uzito wa juu duniani









images+(2)
7.NICKI MINAJ-Mwanamuziki








ro
8.CRISTIANO RONALDO-Mwanasoka









download+(2)9. OPRAH WINFREY- Mtangazaji wa TV na mmoja wa wanawake matajiri zaidi duniani.

cute_footballer__by_wanamirahmessi-d4va5sb10.LIONEL MESSI-Mwanasoka




Thursday, 28 November 2019

Chakula maarufu na chakula pendwa katika nchi za magharibi mwa afrika Kinaitwa Jollo

Chakula maarufu na chakula pendwa katika nchi za magharibi mwa afrika
Kinaitwa Jollof....jina la chakula hicho kimetokana na kabila la wolof ambalo linapatikana katika nchi kama senegal, Gambia , mauritania na sehem nyengine magharibi mwa afrika

KISA CHA WANAUME WENYE UUME MKUBWA ZAIDI DUNIANI

Leo nimejaribu kufatilia kisa cha wanaume wenye uume mkubwa zaidi duniani ambao ni
Roberto Esquivel Cabrera kutoka nchini Mexico ambaye uume wake una urefu wa inchi 19
Mwengine ni Jonah Falcon kutoka marekan ambaye uume wake ni inch 13 ukiwa umesimama na inchi 9 ukiwa umelala
Jonah Falcon ndie wa kwanza kutambulishwa kuwa ni mwanaume mwenye uume mkubwa zaidi duniani
Baadae picha za Roberto Cabrera zikaanza kusambaa mitandaoni zikimuonyesha akiwa anapima uume wake hali iliyozua tafran na hata baadhi ya watu wakitaka cheti cha rekodi ya dunia apewe yeye
Lakin baadae madokta wakaenda kumpima Roberto Cabrera na kugundua kuwa hana uume mrefu kama ulivyo bali uume wake ni inch 6.5 na inch 12 iliyobaki ni ilikuwa ni govi/ngozi inayokuwa kwenye uume kabla ya kutahiriwa
Kutokana na kuwa Roberto kuwa na ndoto za kuwa mwanaume mwenye uume mkubwa duniani tokea akiwa kijana mwenye umri wa miaka 10's hivyo alianza kuivuta ile ngozi ya juu ya uume na hakutaka kutahiriwa
Hata hivyo aliposhauriwa kutahiriwa alikataa kwa sabab anasema anafurahia kuwa mwanaume mwenye umri mkubwa duniani
Uume wa Roberto Cabrera hausimami kutokana kuwa na uzito unao karibia kilo moja
Bado kitabu cha Guiness hakijamtambua Roberto Cabrera ..na baadhi ya vyanzo vinasema kuwa Cabrera ametambuliwa kama ni disability
Johan Falcon alishawahi kumrushia kijembe Roberto Cabrera akimwambia " anaonaje fahari ya kuwa na uume mkubwa hali ya kuwa hautumii
John Falcon anafurahia kuwa na uume mkubwa lakin pia anajinasibu kuwa anapata ofa nyingi za kutakiwa na makampuni ya kutengeneza video za ngono ...lakini pia alishwahi kufanya mapenzi na wanaowania tuzo za oscar na pia alishwahi kufanya mapenzi na washindi wa tuzo ya oscar

Tuesday, 26 November 2019

CHINGIS KHAN...

CHINGIS KHAN (hiki ni cheo na sio jina lake halisi) alikuwa kiongozi wa Wamongolia waliyounda Milki ya Wamongolia iliyoendelea kutawala eneo kubwa kuanzia China pamoja na Asia ya Kati hadi Urusi na Mashariki ya Kati.
Alizaliwa na kupewa jina la TEMUJIN kama mtoto wa chifu wa kabila la kimongolia. Wakati ule Wamongolia walikuwa wafugaji wahamiaji walioishi kaskazini ya nchi ya Mongolia. kulikuwepo na makabila mengi yaliyoendelea kupigana kwa vita. Temujin alishiriki katika vita vingi akaendelea kuunganisha makabila mbalimbali. Tangu mwaka 1201 alikuwa na nguvu ya kutosha akashambulia mataifa ya jirani kama Watartari waliowahi kumuua baba yake na kuwashinda. Mwaka 1206 Temujin aliitisha mkutano wa viongozi wote wa Wamongolia nakukubaliana kumfanya kuwa kiongozi mkuu na kumpa cheo cha "Chingis Khan" yaani mtawala mkubwa
Mkutano huo uliazimia kuanzisha majimbo mbalimbali yaliyokuwa chini ya temujin.Alitawala kwa msaada wa mama yake,kakazake na watoto wake,alimteua mwanaye aliyekuwa mwandishi mzuri na kumkabidhi jukumu la kiandika sheria zote za utawala wake ikumbukwe kua sheria zote zilikuwa zikitungwa na TEMUJIN.
TEMUJIN aliendelea kuanzisha jeshi kwa kutangaza sheria kuwa kila Mmongolia alipaswa kuwa mwanajeshi. Alikua akiwazawadia askari wake mali zilizotekwa vitani toka kwa mateka.Baadae aliteua viongozi waliosimamia vikosi vya wanajeshi 1,000. Hapa hakuteua tena ndugu zake bali aliwachagua viongozi hao kulingana na uwezo na uaminifu.
Mwenyewe alikuwa na kikosi cha ulinzi wake wa wanajeshi wateule 10,000 hawa wote walifanya kazi ya kimlinda.
Temujin alipendwa sana wa watu wa jamii yake baada ya kufanikliwa kuunganisha makabila ya wamongolia bila kuwepo na vita.Kabla ya utawala wa Temujin zamali utawala ulikua ukiendeshwa na machifu ambapo kuunganishwa kwa makabila kulifanywa kwa njia ya vita yaani kabila linaloshindwa linakuwa chini ya washindi na pia litakubaliana na sheria za watawala wao hivyo ujio wa utawala wa temujini ulikiwa kama neema kwa wanajamii wa Wamongolia

ELIMU; HISTORIA NA SIFA ZA ZIWA VICTORIA .

Ziwa hili kabla ya kuitwa Victoria, lilikuwa na majina mengi yaliyotokana na wakazi walioishi kando kando yake, mfano; Kule Uganda liliitwa "Nnalubaale" kwa lugha ya Luganda, Nchini Kenya Waluo wao waliliita "Nam Lolwe" na huku Tanzania lilijulikana kama "Nyanza" kwa lugha za makabila ya wabantu.
Baadae lilipewa jina la Malkia wa Uingereza aliyeitwa Alexandrina Victoria aliyeitawala Uingereza kuanzia mwaka 1837 hadi 1901.
Wakati wa Ukoloni, Malkia huyu alituma wapelelezi wake kuja Afrika na ndipo Bw. John Hanning Speke na Richard Francis Burton waliamua kufanya chunguzi wa kina dhidi ziwa hili lote toka kasikazini hadi wakafanikiwa kufika katika fukwe za ng'ambo ya kusini mwaka 1858, Na wakawa ndio wazungu wa kwanza kuandika taarifa juu ya ziwa hili.
Baada ya uchunguzi waliwasilisha ripoti kwa Malkia ambaye ndiye aliyewezesha shughuli nzima ya upelelezi na serikali ya Uingereza ikaamua kuliita kwa jina la Victoria kama sehemu ya heshima ya kumuenzi Kiongozi huyo kama ilivyo kwa maeneo mengine yanavyopewa majina ya viongozi na watu mashuhuri.

SIFA ZAKE:
1. Ziwa hili lina upana wa kilomita za mraba 69, 584 Japo eneo lote linalopatikana maji ni kilomita za Mraba 169, 858
2. Victoria inakadiriwa kuwa na Urefu wa kina kuanzia mita 80 hadi mita 84 ambazo ni sawa na futi 262 hadi futi 276. Lakini maeneo mengi yana wastani wa kina cha mita 40 ambazo ni sawa na futi 130.
3. Ziwa Victoria limegawanyika katika Nchi tatu; Tanzania, Kenya na Uganda.
Upande wa Tanzania ziwa lina ukubwa wa kilomita za mraba 33,700 sawa na 49% ya ziwa lote, Nchini Uganda ziwa lina ukubwa wa kilomita za mraba 31, 000 sawa na 45% ya ziwa lote na Nchini Kenya ziwa lina ukubwa wa kilomita za mraba 4,100 sawa na 6% ya ziwa lote.
4. Ziwa Victoria linakadiriwa kuwa na aina zaidi ya 500 za Samaki japo tafiti zinasema kwamba 40% ya aina zote za Samaki ziko mbioni kutoweka kabisa kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za kibinadamu na zile za asili.
5. Ziwa hili lina zaidi ya visiwa 100 ambavyo hukaliwa na watu na vingine hatukaliwi na watu
5. Ziwa hili ni la kwanza kwa ukubwa Barani Afrika na la pili kwa eneo lenye maji baridi Duniani baada ya Ziiwa Superior la Marekani, Lakini pia ni la tatu kwa ukubwa katika maziwa yote Duniani
6. Shughuli kuu zifanyikazo katika ziwa hili ni Uvuvi, Usafirishaji, Utalii, Uvunaji wa maji kwa ajili ya matumizi mbalimbali n.k.
7. Ziwa hili hupokea maji kutoka mito mikubwa kama vile Mto Kagera, Mto Mara n.k. mbali na hapo Ziwa hili humwaga maji yake katika Mto Nile.

GAZETI MBEGU.....

huko nchini Japan kuna gazeti ambalo unaweza ukalipanda kisha ukaota mti wa maua
Kwahiyo unaweza ukanunua gazeti ukalisoma baadae ukaenda kulipanda kisha ukawa unalinyunyizia maji nalo litaota kama unavyopanda mbegu

Monday, 25 November 2019

SNAKE MAN ⠀


👉Alizaliwa mwaka 1910 wakati wa ujana wake alikua akijichoma sindano zenye sumu za nyoka tofauti tofauti ili tu aimarishe Kinga ya mwili wake ⠀

👉Mara baada ya kufanya hivyo alikua haogopi tena nyoka aling'atwa na nyoka takribani 172 lakini hakupata maradha yoyote 👏 ⠀

👉Na alikua anajitolea Damu yake kwa watu walio ng'atwa na nyoka na wote walikua wanapona ⠀

👉alifanikiwa kuishi miaka 101 alifariki mwaka 2011👍

Image may contain: 1 person

Mjue marehemu MAJOR GENERAL MUHIDIN KIMARIO

👉Mjue marehemu MAJOR GENERAL MUHIDIN KIMARIO
Marehemu Major Gen Muhiddin Kimario mmoja ya mawaziri wawili tu wa Mambo ya Ndani katika historia ya Tanzania kuwahi kudumu katika nafasi hiyo kwa zaidi ya miaka 5.
👉Mnamo mwaka 1978 Wakati wa vita ya kagera Alitumwa na Mwl Nyerere kuwaaga wanajeshi kwenda kumng'oa Nduli Idd Amin akiwa anahutubia katika uwanja wa Nyamagana ghafla akajivua Uwaziri na yeye akaenda vitani👇
"Mkuu wa mkoa naomba ufikishe taarifa hii kwa Mh. Rais kwamba najivua Uwaziri na naamuwa kurudi Jeshini kuungana na wenzangu leo kwenda kumshikisha Adabu Amin"