👉Alizaliwa mwaka 1910 wakati wa ujana wake alikua akijichoma sindano zenye sumu za nyoka tofauti tofauti ili tu aimarishe Kinga ya mwili wake ⠀
⠀
👉Mara baada ya kufanya hivyo alikua haogopi tena nyoka aling'atwa na nyoka takribani 172 lakini hakupata maradha yoyote 👏 ⠀
⠀
👉Na alikua anajitolea Damu yake kwa watu walio ng'atwa na nyoka na wote walikua wanapona ⠀
⠀
👉alifanikiwa kuishi miaka 101 alifariki mwaka 2011👍
⠀

No comments:
Post a Comment