Monday, 25 November 2019

KUTOKA MAKTABA 👇

👉Mbabemba hili ni kabila lililopo huko South Africa miaka ya nyuma kidogo kabila hili lilikua na utamaduni endapo mtu wa kabila hilo akifanya kosa katika Jamii yao mfano wizi 👇
👉Walichokua wanafanya ni kuandaa siku maalumu na kamuweka mtu huyo katikati kisha wanamzunguka na Kuanza kumsema kwa kumkumbusha mambo mema aliyo wahi Kufanya kila mtu aliepo hapo atasema lolote analolifahamu alilo wahi lifanya mtu huyo👏
👉Baada ya kumsema na kumuonya kuhusu tabia yake hufanyiwa sherehe kubwa kisha mtu huyo hukaribishwa upya katika Jamii yao na huamini amezaliwa upya 👏

No comments:

Post a Comment