NYUMBA YA FIKRA

Thursday, 14 November 2019

MABONANZA. ....VIWANDA VIPYA VYA WACHINA VINAVYOUMIZA VIJANA WA KITANZANIA...


Image may contain: indoor
Katika vitu ambavyo naiona serikali inachelewa kufungia ni haya mabonanza
Kwanza hautomuona mtanzania yoyote akiwa anayamiliki haya zaidi ya wachina wenyewe...
Pili hela wanayoingiza wachina kwa siku ni kubwa zaidi na hakuna kodi yoyote ile tofauti na kwenye kubeti mikeka...
Tatu kwa kiasi kikubwa haya mabonanza yamewaletea watu umasikini kwenye familia zao.....
..Tatu hayana usimamizi wakutosha katika jamii utaona vijana hata chini ya miaka 18 wanacheza hali inayowaathiri kisaikolojia na kuwapelekea kuathirika na michezo ya kamari na kuacha shule au kuenda kwenye vitendo visivyo kawaida
MIMI BINAFSI KWA NILIVYOFATILIA MCHEZO HUU. .....HAUNA FAIDIA KWA TANZANIA KWA SABABU BORA HATA MIKEKA AU TATU MZUKA AU KAMARI NYENGINE ZA KUBETI HUWA ZINACHANGIA PESA KWA SERIKALI KULIKO HII
.....NAIOMBA SERIKALI YA JAMHURI IYAFUNGIE HAYA MADUBWASHA YANAYOWAUMIZA WATOTO WA KITANZANIA KWA KUKOSA MAHITAJI MUHIMU
Posted by Null at 00:38
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

nyumbayafikra.blogspot.com

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments

Loading...

Loading...

Loading...

About Me

Null
View my complete profile

Blog Archive

  • ►  2020 (4)
    • ►  January (4)
  • ▼  2019 (55)
    • ►  December (21)
    • ▼  November (30)
      • Kasri la Kifalme Mjini Beijing
      • HAWA NDIO WATU KUMI MAARUFU ZAIDI DUNIANI
      • HAWA NDIO WATU KUMI MAARUFU ZAIDI DUNIANI
      • Chakula maarufu na chakula pendwa katika nchi za m...
      • KISA CHA WANAUME WENYE UUME MKUBWA ZAIDI DUNIANI
      • CHINGIS KHAN...
      • ELIMU; HISTORIA NA SIFA ZA ZIWA VICTORIA .
      • GAZETI MBEGU.....
      • SNAKE MAN ⠀
      • Mjue marehemu MAJOR GENERAL MUHIDIN KIMARIO
      • DESMOND THOMAS DOSS
      • KUTOKA MAKTABA 👇
      • Je wajua kuwa kila dakika 5 mtu mmoja hufariki dun...
      • e wajua kwamba ukumbi wa michezo wa kale wa Aspend...
      • UNAVYOZIDI KUISI NA MPENZI WAKO NDIVYO NENO NAKUPE...
      • Prakriti Malla, ndiye binti anayeshikilia rekodi y...
      • Mauzo ya mtandao wa Amazon kwa saa
      • Chaneli za vichekesho zinazotazamwa zaidi kwenye Y...
      • Takwimu zinaonyesha watu 4000 hukatwa miguu kila m...
      • Nchi zilizokumbwa zaidi na matukio ya mauaji ya um...
      • Nchi ambazo raia wake wameelimika zaidi duniani
      • MABONANZA. ....VIWANDA VIPYA VYA WACHINA VINAVYOUM...
      • UKITOBOA DUNIA BASI UTATUMIA MUDA HUU
      • KUFANYA MAPENZI NI DAWA
      • Sio Wanawake Tu, Hata Wanaume Pia Hupatwa Na Hedhi!
      • The Great Wall: Ujenzi Wa Binadamu Ulio Mrefu Zaidi!
      • Mwanaume Ana Uwezo Wa Kubeba Mimba Pia #Fahamuz
      • Fahamu Kuhusu Fantasy League Na Namna Ya Kushiriki
      • Maisha Ya Simba Dume Yana Misuko Suko Ya Kutisha
      • Stori Kuhusu Picha Ya Nyani’ na Hisia Kwa Mtoto Wake!
    • ►  October (4)
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.