Monday, 18 November 2019

Takwimu zinaonyesha watu 4000 hukatwa miguu kila mwaka kutokana na kisukari.

Jikinge kwa
👉 Kupunguza uzito/kitambi
👉 Kuzingatia Lishe Bora
👉 Kufanya mazoezi
👉Kupima afya mara kwa mara

No comments:

Post a Comment