⠀⠀
CONSCIENTIOUS OBJECTOR ni mtu alie kataa kufuata au kufata sheria fulani ya jeshi kwa sababu zake binafsi kama imani za kidini, uhuru wa mawazo au msimamo binafsi ⠀⠀
⠀⠀
👉Katika vita ya pili ya dunia huyu alikataa kabisa kushika silaha kwa sababu ya imani yake kuwa MUNGU alikataza kuua (alikua msabato) ⠀⠀
⠀⠀
👉Aliingia katika uwanja wa Vita bila silaha yoyote 👇👇⠀⠀
katika vita baada ya wamarekani kuzidiwa vita na kurudi nyuma huku wawewaacha maututi wengi katika uwanja wa vita ⠀⠀
⠀⠀
👉DESMOND hakurudi nyuma pamoja na wanajeshi Wengine bali alibaki kuwasaidia maututi hakujali maututi wa kimarekani au kijapani alisaidia wote ⠀⠀
👉Alifanikiwa kusaidia maututi 75 wa kijapani na wa kimarekani (idadi haijatajwa) ⠀⠀
⠀⠀
👉Inasemekana baada ya wa JAPAN kumkuta akisaidia maututi walimuacha aende hawakumshambulia👏⠀⠀
👉 Pia kuna movie inaitwa HACKSAW RUDGE inaelezea kisa hii unaweza kuitafuta👏⠀
kazaliwa 1919 kufariki 2006⠀⠀
RIP HERO✌⠀⠀

No comments:
Post a Comment